Lyrics

JE UNANIFIKIRIA LYRICS » BAHATI & OTILE BROWN (KENYA)

JE UNANIFIKIRIA LYRICS » BAHATI & OTILE BROWN (KENYA) : The Je Unanifikiria Lyrics / Je Unanifikiria Song Lyrics by Bahati & Otile Brown is the Latest African Song of 2021. The Je Unanifikiria Song is Sung by Bahati & Otile Brown. The Je Unanifikiria Song Music is Given by EMB Records, Mesesi & Teddy B. The Je Unanifikiria Song Lyrics is Written by Bahati & Otile Brown. The Je Unanifikiria Song is Released on 16th December, 2021. The Je Unanifikiria Song is Presented by Bahati Kenya.

Je Unanifikiria Song Details :

Song Je Unanifikiria
Singer Bahati & Otile Brown
Music EMB Records, Mesesi & Teddy B
Lyrics Bahati & Otile Brown
Release Date 16th December, 2021
Language African (Region : Kenya)
Label Bahati Kenya

JE UNANIFIKIRIA LYRICS » BAHATI & OTILE BROWN (KENYA)

(EMB Records)
Ooh Uwoo, Woo
Mesesi, Teddy B!

Penzi Letu Likolee
Monday Mpaka Sunday..
Wacha Waongee Mi
Nikupende..

Twende Mbali Wajionee
Usiniache Ningojee
Navyokupenda Nipokee
Oh My Baby..

Je Unanifikiria,
Vile Nakufikiria..
Je Unanishikilia,
Vile Nakushikilia..

Uzuri Wa Moyo Wako,
Uzuri Ulonivuta Kwako,

Kwako Sioni Siambiliki
Kwako Nalewa Bia..
Mambo Yananyooka Tiki,
Mola Anatujalia..

Nakupenda Peke Yako Mi Wako
My Baby, My Lady..
Nobody Badder Than You..
Nobody Badder Than You..

Je Unanifikiria,
Vile Nakufikiria..
Je Unanishikilia,
Vile Nakushikilia..

Je Unanifikiria,
Vile Nakufikiria
Je Unanishikilia,
Vile Nakushikilia..

Hii Dunia Sijampata
Wa Kumfananisha Na Wewe,
Na Wewe
Dunia Dunia..

My Beautiful Body Nalo Fine, Fine
Shepu Nalo Fine, Fine,
Umbika Aki Walai..

Ni Wewe, Anipendaye Wewe
Anifarijiaye Wewe..
Aniwazae Wewe..
Wewe, Anipendaye Wewe
Anifarijiaye Wewe..
Aniwazae Wewe..

Baby Baby Nauliza
Je Unanifikiria?
Vile Nakufikiria
Je Unanishikilia?

Je Unanifikiria?
Vile Nakufikiria
Je Unanishikilia,
Vile Nakushikilia
Oooh… (Ah!)

Written by : Bahati & Otile Brown

JE UNANIFIKIRIA LYRICS » BAHATI & OTILE BROWN (KENYA)

JE UNANIFIKIRIA LYRICS » BAHATI & OTILE BROWN (KENYA) » Official Music VideoUp Voted :
81,481

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *